Hatua za Kujua Compyuta Specifications
Mara ngapi umekuwa ukijiuliza, ufanyeje kuweza kujua aina gani na uwezo gani wa kompyuta ungehitaji kwa matumizi yako? Ni swali gumu kujibu hasa kwa wewe ambaye hauna msingi hata mdogo wa kuhusu kompyuta na ufanyaji kazi wake. Ni rahisi, hatua zifuatazo zitakusaidia kujua uwezo wa komputa uipendayo
2. Hatua ya Pili.
Minya .msinfo32 minya↵ Enter. Hapo itakuonesha system information
3. Hatua ya Tatu.
Itachua mda kidogo , na baada ya hapo itakuletea ukurasa au Dialog nzuri ambayo itakupa uwezo wewe wa kuangalia chochote kuhusu kompyuta
Tafadhari pata nakala yako ya PDF hapa.
Tafadhari kama imekusaidia au una maoni mazuri ya kuboresha post hii, comment au andika hapo chini. Kwa maswali yoyote ya technolgy ya habari na mawasilano yaani, ICT issues temebelea http://lelimu-kwawote.blogspot.com
- Hatua ya Kwanza.

No comments